igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 956
- 1,502
Nani kakwambia ...haha
Hivi naomba kuuliza iv diamond hua hajishtukii sometime yan wewe ukigusa tu mahali panageuka almasi, yan kila anachogusa jamaa, yan unaserereka tu mwanawane hela zinakuja tu kama mvua we unazikinga tu na zinazidi kujaa tu non stop duuuuh
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] n matatizo ya kutotembea hayo niljua mapema tuu,Pole sana mkuu. Bado una uzilipendwa. Angalia popote unapotaka ku prove majibu utayapata mwenyewe. Maana mmezoea ligi za maneno tu
Fiesta hapo wanamuona kama kituo cha polisiKwa hali hii waleee wa fiesta hawatamuita nasjaskia mpaka leo atapeform wap nahis clauds wameogopa gharama kubwa sana
Kwani mr. Flavour na Diamond nani msanii mkubwa? Au kwa kuwa mr. Flavour yupo Nigeria?
Sijauliza ili kujua. Najua vizuri kuwa Diamond ndo msanii mkubwa sio msanii legend!Ungeuliza vizuri ungejibiwa, tatizo ujuaji..........
Hawa walisha zoelekaAlafu wanabisha eti ni uongo hapigi show kwa Tzs80Million wakati wakenya wanasema alipiga show kenya kwa Ksh 4Million! Labda watubadilishie million 4 za Kenya kibongo bongo ni millioni ngapi?
Una mbwembwe katika kujibu alafu hauna fact hata moja. Kwa i huko Youtube nlipokwambia ukaangalie kuna shiw za Diaomond za bongo peke yake? Na kuna za Flavour za Nigeria peke yake? Eti 'nenda mbele ukaone' we umehudhuria show ngapi za Mr. falvour huko mbele na za Diamond? Youtube ipo itumie ikusaidie. Hatuna haja ya kujaza mipasho humu wakati nyenzo zipo. Kila kitu Diamond kamfunika Flavour kuanzia wingi wa watu na wingi wa show za mbele! Amemfunika hata kwa wingi wa viewers wa nyimbo Youtube (hata ukijumlisha zile nyimbo za Flavour za kitambo kabla Domo hajafikia level hizo bado Flavour kafunikwa). Kamzidi kwa idadi ya followers katika social media zote (na hapa sio Flavour tu huyu mpoli poli hata akina Wizkid amewafunika)! Hii inaonesha Diamonda ana wider fan base compared na hao wote! Hivi unajua vigezo vinavyotumiwa na makampuni/music stakeholders kupima ukubwa wa msanii au unajitengenezea vigezo vyako vya 'u zilipendwa' eti kisa Flavour ni legend basi ndo msanii mkubwa. Kama hivyo basi na Dully Sykes ni msanii mkubwa kumzidi Kiba kwa sababu tu kaanza mziki mapema kabla ya Kiba. Tatizo wabongo mnapenda sana kuandika mipasho kulingana na hisia zenu bila kuinclude fact/evidence zozote.[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] n matatizo ya kutotembea hayo niljua mapema tuu,
usicompee shoo za flavour na diamond kibongobongo nenda mbele uone nan anakiwasha zaid achana na show za bdey party mjomba.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji106] [emoji106] [emoji106] umesomeka mkuuuuUna mbwembwe katika kujibu alafu hauna fact hata moja. Kwa i huko Youtube nlipokwambia ukaangalie kuna shiw za Diaomond za bongo peke yake? Na kuna za Flavour za Nigeria peke yake? Eti 'nenda mbele ukaone' we umehudhuria show ngapi za Mr. falvour huko mbele na za Diamond? Youtube ipo itumie ikusaidie. Hatuna haja ya kujaza mipasho humu wakati nyenzo zipo. Kila kitu Diamond kamfunika Flavour kuanzia wingi wa watu na wingi wa show za mbele! Amemfunika hata kwa wingi wa viewers wa nyimbo Youtube (hata ukijumlisha zile nyimbo za Flavour za kitambo kabla Domo hajafikia level hizo bado Flavour kafunikwa). Kamzidi kwa idadi ya followers katika social media zote (na hapa sio Flavour tu huyu mpoli poli hata akina Wizkid amewafunika)! Hii inaonesha Diamonda ana wider fan base compared na hao wote! Hivi unajua vigezo vinavyotumiwa na makampuni/music stakeholders kupima ukubwa wa msanii au unajitengenezea vigezo vyako vya 'u zilipendwa' eti kisa Flavour ni legend basi ndo msanii mkubwa. Kama hivyo basi na Dully Sykes ni msanii mkubwa kumzidi Kiba kwa sababu tu kaanza mziki mapema kabla ya Kiba. Tatizo wabongo mnapenda sana kuandika mipasho kulingana na hisia zenu bila kuinclude fact/evidence zozote.
Sent from my TECNO M6 using JamiiForums mobile app
mashabiki tunahitaji live show habar za kuja na cd show zake nishazichoka aisee sijui msanii gani tz anaweza kupiga live show kama bella anajua sana
Clouds wamewanyonya sana mpaka watu hawaamini mtu anaweza lipwa hela hiyo, hujiulizi kwanini Clouds wanashindwa ku afford show zake?!....alafu pamoja na yote wameshindwa kumwekea bifu kama Jide!.....hawawezi kwasababu Mondi ni zaidi ya Clouds inayoishia Namanga na Tunduma, Dai ni Mkubwa zaidi ya hiyo Stesheni inayosikika Bongo....Japo ni shabiki wake mkubwa ila numbers do not add up.
Labda kama shows za nje huko kwa wenzetu ingekuwa anavuta mpunga mrefu kiasi hiki basi angekuwa ana ela zaidi ya sasa maana shows zake ni nyingi sana.
Ahahaaaaaah...sio Flavour tu huyu mpoli poli
Wapi katajwa kiba.....hapa anazungumziwa diamond tuTatizo letu wabongo huwa hamjui kupima ukubwa wa msanii, ndo maana huwa tunalazimisha kuwaweka group moja alikiba na diamond.
Ni hivi diamond kwa sasa ni msanii mkubwa africa lakini hajafikia kuwa na nguvu kama ya mr.flavour, uyu mr flavour akienda ghana, zambia ,benin, togo, ivory coast, malawi, comeroon, zimbabwe, gabon na south africa anawezo wa kupiga show kujaza kiwanja cha mpira, diamond nguvu hiyo bado hana japo atapata watu
alafu kuna show huwa wanakua wasanii wengi kama fiesta.Una mbwembwe katika kujibu alafu hauna fact hata moja. Kwa i huko Youtube nlipokwambia ukaangalie kuna shiw za Diaomond za bongo peke yake? Na kuna za Flavour za Nigeria peke yake? Eti 'nenda mbele ukaone' we umehudhuria show ngapi za Mr. falvour huko mbele na za Diamond? Youtube ipo itumie ikusaidie. Hatuna haja ya kujaza mipasho humu wakati nyenzo zipo. Kila kitu Diamond kamfunika Flavour kuanzia wingi wa watu na wingi wa show za mbele! Amemfunika hata kwa wingi wa viewers wa nyimbo Youtube (hata ukijumlisha zile nyimbo za Flavour za kitambo kabla Domo hajafikia level hizo bado Flavour kafunikwa). Kamzidi kwa idadi ya followers katika social media zote (na hapa sio Flavour tu huyu mpoli poli hata akina Wizkid amewafunika)! Hii inaonesha Diamonda ana wider fan base compared na hao wote! Hivi unajua vigezo vinavyotumiwa na makampuni/music stakeholders kupima ukubwa wa msanii au unajitengenezea vigezo vyako vya 'u zilipendwa' eti kisa Flavour ni legend basi ndo msanii mkubwa. Kama hivyo basi na Dully Sykes ni msanii mkubwa kumzidi Kiba kwa sababu tu kaanza mziki mapema kabla ya Kiba. Tatizo wabongo mnapenda sana kuandika mipasho kulingana na hisia zenu bila kuinclude fact/evidence zozote.
Sent from my TECNO M6 using JamiiForums mobile app
Show kyela daah hapa umewashika pabaya humuMkuu diamond kweli ana hela hatukatai ila pia kuongeza sifuri kweny mahojiano yake inawezekana, kwani angesimama omy dimpoz na kusema kuwa ana bilion 8 bank ungekataa? Au ye alionesha uthibitisho kuwa kweli ana bilion 8, ata ww kwa watu wanaokufahamu na hadhi yako unaweza kuwaamba nina milion 500 benki wao wataangalia the way unavyojiweka tu na either watakubali au watakataa, so diamond anasema pesa ndefu akiwa anahojiwa ili kupandisha hadhi yake, hpo mapromota wakitaka huduma yake wanakuwa wanafkilia huyu jamaa alisema ana bilion 8 bank na anatoza milion 87 so ili ata tu kuanza kubagain razima angalau tuwe na milion 50
hivo ndo mchezo ulivo ndg yangu sio tunashupaa kutokwa povu utazani tuliongozana nae bank tukaziona, mwezi uliopita alikuwa na show kyera so napo uamini kuwa walimpa milion 87??? Anyway sisi wote ni wadau tu wa mziki wake na tunafurahia maendeleo yake ila hatujui chochote kuhusu utajiri wake hyo issue wanajua mameneja zake na yeye mwenyewe ila ye anatake advantage kwetu kulingana na the way anavyo ishi kifahari ata akiamka kesho akasema ss nina bilion 50 uamini, so haina haja ya kushupaza shingo huku jf alafu mwenye hela ni mwingine ni ujinga, hebu nasisi tukatafute zetu kwanza, jion njema
Forbeshajasema yeye kama anapesa hzo,hlo ni jarida la forbes na kuna mtandao mmoja upo nigeria na marekan pia walitoa takwimu hzo