BilioneaPATIGOO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 12,320 Reaction score 11,341 Aug 31, 2016 #1 40,000$$ ambayo ni sawa na Tsh. 87,000,000/=.
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,743 Aug 31, 2016 #3 Japo ni shabiki wake mkubwa ila numbers do not add up. Labda kama shows za nje huko kwa wenzetu ingekuwa anavuta mpunga mrefu kiasi hiki basi angekuwa ana ela zaidi ya sasa maana shows zake ni nyingi sana.
Japo ni shabiki wake mkubwa ila numbers do not add up. Labda kama shows za nje huko kwa wenzetu ingekuwa anavuta mpunga mrefu kiasi hiki basi angekuwa ana ela zaidi ya sasa maana shows zake ni nyingi sana.
R Rutakyamilwa JF-Expert Member Joined Feb 27, 2009 Posts 1,871 Reaction score 1,241 Aug 31, 2016 #4 PATO8221 said: View attachment 391009 40,000$$ ambayo ni sawa na Tsh. 87,000,000/=. Click to expand... Kwa muziki upi wa maana kwa hela hiyo!
PATO8221 said: View attachment 391009 40,000$$ ambayo ni sawa na Tsh. 87,000,000/=. Click to expand... Kwa muziki upi wa maana kwa hela hiyo!
Amadoli JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 2,544 Reaction score 2,268 Aug 31, 2016 #5 Rutakyamilwa said: Kwa muziki upi wa maana kwa hela hiyo! Click to expand... # kidogo ft p square
sammy255 Senior Member Joined Aug 28, 2016 Posts 123 Reaction score 87 Aug 31, 2016 #6 Duuh iyo amount ni ndefu xana
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,467 Aug 31, 2016 #7 Rutakyamilwa said: Kwa muziki upi wa maana kwa hela hiyo! Click to expand... kama huna acha hujalazimishwa
Rutakyamilwa said: Kwa muziki upi wa maana kwa hela hiyo! Click to expand... kama huna acha hujalazimishwa
wamisako JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 917 Reaction score 872 Aug 31, 2016 #8 Kwa hali hii waleee wa fiesta hawatamuita nasjaskia mpaka leo atapeform wap nahis clauds wameogopa gharama kubwa sana
Kwa hali hii waleee wa fiesta hawatamuita nasjaskia mpaka leo atapeform wap nahis clauds wameogopa gharama kubwa sana
wamisako JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 917 Reaction score 872 Aug 31, 2016 #9 Anaweza walipa wasanii wote watakaoenda ku peform fiesta mkoa mmoja na chenji baki
brave one JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 4,879 Reaction score 7,393 Aug 31, 2016 #10 Diamond ndo msanii analipwa pesa nyingi kwa show africa mashariki
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,657 Reaction score 19,274 Aug 31, 2016 #11 wamisako said: Kwa hali hii waleee wa fiesta hawatamuita nasjaskia mpaka leo atapeform wap nahis clauds wameogopa gharama kubwa sana Click to expand... tigo hata wakina ya moto wanaona tabu kuwaita.. wamekazania vifaranga tu
wamisako said: Kwa hali hii waleee wa fiesta hawatamuita nasjaskia mpaka leo atapeform wap nahis clauds wameogopa gharama kubwa sana Click to expand... tigo hata wakina ya moto wanaona tabu kuwaita.. wamekazania vifaranga tu
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,296 Aug 31, 2016 #12 Inahitaji moyo kuanza kubishana na tangazo!
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 31, 2016 #13 Wataelewa
tamadunimusic JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 551 Reaction score 560 Aug 31, 2016 #14 Itakuwa ni show za nje, kibongo bongo hawezi toza hiyo hela maana muandaaji inabidi kwa makadirio apate km mil 150 ili aweze kumlipa msanii mil 80.
Itakuwa ni show za nje, kibongo bongo hawezi toza hiyo hela maana muandaaji inabidi kwa makadirio apate km mil 150 ili aweze kumlipa msanii mil 80.
yomboo JF-Expert Member Joined May 9, 2015 Posts 6,225 Reaction score 4,905 Aug 31, 2016 #15 PATO8221 said: View attachment 391009 40,000$$ ambayo ni sawa na Tsh. 87,000,000/=. Click to expand... Hata aseme bure siwezi kupoteza muda wangu Bora nikacheze draft
PATO8221 said: View attachment 391009 40,000$$ ambayo ni sawa na Tsh. 87,000,000/=. Click to expand... Hata aseme bure siwezi kupoteza muda wangu Bora nikacheze draft
yomboo JF-Expert Member Joined May 9, 2015 Posts 6,225 Reaction score 4,905 Aug 31, 2016 #16 brave one said: Diamond ndo msanii analipwa pesa nyingi kwa show africa mashariki Click to expand... Si kweli
brave one said: Diamond ndo msanii analipwa pesa nyingi kwa show africa mashariki Click to expand... Si kweli
BansenBurner JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 6,809 Reaction score 5,779 Aug 31, 2016 #17 Anapiga show ya bure kwa zari tu
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Aug 31, 2016 #18 yomboo said: Hata aseme bure siwezi kupoteza muda wangu Bora nikacheze draft Click to expand... draft? haya mkuu
yomboo said: Hata aseme bure siwezi kupoteza muda wangu Bora nikacheze draft Click to expand... draft? haya mkuu
yomboo JF-Expert Member Joined May 9, 2015 Posts 6,225 Reaction score 4,905 Aug 31, 2016 #19 Slim5 said: draft? haya mkuu Click to expand... Au nikakamate barale
brave one JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 4,879 Reaction score 7,393 Aug 31, 2016 #20 yomboo said: Si kweli Click to expand... Acha ubishi kama hujui kitu waulize waandaaji wa matamasha east africa
yomboo said: Si kweli Click to expand... Acha ubishi kama hujui kitu waulize waandaaji wa matamasha east africa