Uo ndo ujanjami nina ndevu zangu hzoo......kila nikienda kumsalimia bimkubwa na bibi wanapiga kelele ninyoee lkn sijawahi hata kuwaza kufanya hvo.......!!!!!
siwez acha kidevu changu kibaki kama tako....tako lenyewe linanywele bhanaa..
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Kama mimi aisee nimeshagombana nao kuhusu kunyoa ndevu mpaka wamezoea.mi nina ndevu zangu hzoo......kila nikienda kumsalimia bimkubwa na bibi wanapiga kelele ninyoee lkn sijawahi hata kuwaza kufanya hvo.......!!!!!
siwez acha kidevu changu kibaki kama tako....tako lenyewe linanywele bhanaa..
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Ukiona mtu anataka kutambuliwa uanaume wake kwa sababu ya ndevu,basi huyo ana shida kubwa.Ukichunguza utakuta ni dhaifu kitandani,ana hasira za kike kutokana na kutojiamini,na ukichunguza utakuta anajaribu kuficha udhaifu mwingi unaoweza kumfanya aonekane mwanamke akinyoa ndevu!Hebu fikiria kuhusu John Cena,Broke lesnar n.k halafu ujiangalie na vindevu vyako!Acheni tabia ya uvivu wa kutonyoa ndevu.Mnakuwa kama mademu yenye kucha ndeeefu!Mnadhani ni urembo kumbe upuuzi tu
Hapo No.