ukitaka kua jasiri fuga ndevu

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,864
Devu zinamaana kubwa sana, ndo mna wazee wazaman hawakuzinyoaa,
1-meanamke mwenyewe anakuogopa na vitoto toto vinajua hiki kidume
2- pili ukishika kidevu chako unaona tofauti yako na watoto na wanawake
3 kubwa unakua jasiri huogopi,
Unakua unamuonekano wa kidume la mbegu.

Sasa kidume nae anatumia zaidi ya nususaa et anatengeneza ndevu,

Bdo mana wale wanaonyoa hujiua kwa vitu vidogo kwa risasi hasa papuchi.

Ahsate
 
Wanafuga ng'ombe waweze kula nyama wewe unafuga ndevu uwe kama OSAMA!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…