Ukistaajabu ya Musa.....kumbe men nao siku hizi hujiuza baa?

mbona wako wengi sana hao?

kuna wengine wanawekwa kinyumba kabisa

kuna mkaka alifumaniwa na wanawake 2, mmoja alimpa rav 4 ya kutumia, mwingine ndo aliyempangia nyumba na kulipa kodi!!!!
 
ila kumbe wananunulia kwa ajiri ya kuchapa. aaaaaaaaaa hapo sawa maana wanaume wachache siku hizi
 
Dah!! na kweli duani kuna mambo mmhh!
Sijui ndio maisha yamekuwa magumu!!!
 
kama wateja hawapo biashara itakufa hivyo hakuna bishara isiyokuwa na mteja.
 
kama wateja hawapo biashara itakufa hivyo hakuna bishara isiyokuwa na mteja.

heheheh... male prostitution -
ni kwamba wanaume hawa wanaukana uanaume wao? Wamechoka kuishi kama jamii inavyowategemea kwamba wawe watafutaji, wahongaji, .... baada ya hii what next kabla kiama hakijatukuta?
 
Hawa wanaelekea kwenye extinction...Kwani hujui hatima ya simba aliyeshindwa kuwinda???

Babu DC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…