njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
nilichopost wapi kinazungumzia mkataba wa mchezaji?Wewe inaonyesha hujui lolote katika soka, Meneja wa mchezaji hana mamlaka ya kutangaza mchezaji mwenye mkataba hai tena Pande zote zinawajibika kutekeleza masharti ya mkataba bila tatizo alafu aseme mchezaji ameuzwa kwenda Klabu nyingine.
Wajibu wa kutangaza habari za mchezaji ni Klabu anayoitumikia, mchezaji ni Mali ya Klabu si Meneja. Simba walikua na wajibu wa kuwaeleza wanachama na mashabiki mapema Kama imeshauza wachezaji kwakua wao ndio wenye timu ndio waajiri. Viongoz wapo kuongoza tu.
Meneja ananguvu iwapo Kuna matatizo ya kimkataba au mchezaji yupo huru.
Hivi Mchambuzi ukiwa kama George Ambangile unapungukiwa nini. Mababa wazima unakuwa unaongzwa kusutwa mitandaonio sio sawa
Huyo kakimbiwa na mke mmoja baada ya bibie kujua kuwa jamaa anabokolewaHapo pa “Mababa Wazima” tena wengine na Wake karibia Sita kwa mpigo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ameshauzwa na haitumikii Simba, kwa hiyo subiri klabu anayoitumikia ikutangazieWajibu wa kutangaza habari za mchezaji ni Klabu anayoitumikia, mchezaji ni Mali ya Klabu si Meneja.
ni kweli kabisa hata ile mechi shaffih Dauda aliyoicheza kichwani kwake simba alifungwa 2-0 na green warriors na aliitumia clouds fm kutangaz matokeo ya mechi hiyo hewa cha ajabu akaenda kuomba msamaha tena kijeuri kwenye page ya insta kwa hiyo sishangai hayo usemayoSimba iliweka kambi Uturuki mwaka fulani..
ni kweli ilifungwa bao saba na kikundi cha madereva taxi kule
haikua south africa
Simba iliweka kambi Uturuki mwaka fulani.. ni kweli ilifungwa bao saba na kikundi cha madereva taxi kule
haikua south africa
Umezungumza kama mwana michezo si kishabiki. Haya mambo watu wakiweka Usimba na Uyanga watakuja umia baadaye. Ni kukemea kwa nguvu zote waandishi wawe na welediSiku hizi kazi kwelikweli kila mtu anataka awe wa kwanza kwa EXCLUSIVES mpaka wanasahau miiko ya kazi
Dah!! Wewe jamaa una gubu!! Hivi familia yako inawezaje kuvumilia kuishi na kiumbe kama wewe! Kutwa nzima ni kulalamika tu.Ukiwasikiliza redioni wanavyolalamika kukosolewa inashangaza sana, yes nazungumzia hawa WACHA-MBUZI MAAN KUNA WACHAMBUZI NA WACHA MUNGU HALAFU KUNA SOCCER PUNDITS
Haiwezekani umekalisha tu masaburi mahala kisa umepewa bahasha ya khaki na wakwepa kodi maarufu basi unajitungia ka story chako halafu unakapa jina la tetesi huku ukisemaa za ndanindani baadaye ndipo unampigia simu muhusika eti ukidai una balance story
wadau wakiwajia juu mnadai hizo za ndanindani huwa zinatoka hukohuko klabuni...huo ni ujinga hiyo inaitwa story concoction
Naona tu wengi wenu mmesahau kuna kipindi Shaffih Dauda alishawahi kukaa nyumbani kwake akawa bored akaicheza mechi ya simba vs green warriors kichwani kwake na mechi hiyo iliisha kwa simba kufungwa 2-0, INASIKITISHA SANA maana hiyo mechi haikuwepo na wala haikutarajiwa kuwepo eti baadaye akaja kuomba radhi kishkaji
Hao hao clouds miaka 3 iliyopita simba ikiwa camp south africa walishawahi kusema simba kafungwa goasl 7-0 mechi ya kirafiki ambayo pia haikuwahi kupigwa
Jiulize hivi hawa watu bado wanadai sisi tuwaheshimu? majitu yaliyoshindwa kujiheshimu? mtu kakaa kwake anatunga story, eti za kichinichini ni kwamba Mo anaondoka kisa watu wanamsema sana yaani kosa kubwa la MO ni mafanikio makubwa simba waliyoyapata kwa miaka 4 media zitamsulubu hadi simba iporomoke kabisa ndipo itakuwa furaha ya WACHA_MBUZI TAKATAKA
-