Aisee usiombe uvamiwe na majambazi yenye silaha kali.... Kuna kipindi nilikuwa nasafiri kwenda Kahama aisee ilikuwa ni mida ya saa2 usiku mara ghafla tukashangaa barabara imefungwa, ile kusimamisha gari tu majambazi hao wakaanza kupasua vioo vya gari akamchomoa jamaa mmoja akapewa panga la kichwa, aisee nilivyoona hivyo niliomba Sara zote hadi jasho la kwa bibi likanitoka, kweli Mungu si
Bishanga ghafla tukashangaa gari nyingine inakuja kumbe walikuwa ni maaskari wakaanza kujibishana kwa risasi na hapo ndipo ilikuwa salama yetu.