Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 326
- 627
Mkuu hueleweki. Itakuwaje useme umeapplai na hukuwa selected na hapo hapo ati nacte wamesema HONGERA UMECHAGULIWA CHUO FULANI. Fafanua hili ili uweze kupata msaada!!!Jaman et uki apply diploma first selection ujawa selected ukienda pale NACTE kwenye tovuti yao upande wa afya wanasema congratulations unechaguliwa chuo fulan
Mimi kama sijaridhika naweza ku apply diploma second selection tena? Bila kuathiri first selection ile au hawawez ju request tena maombi kwa mtu huyo?
Samahan second selection wanaanza kuaply lini?Iko hivi, 2nd round ni kwajili ya watu waliokosa vyuo na ambao hawakuomba kabisa, kama uliomba ukachaguliwa subiri kubadili kozi tu ndicho kinawesekana au kuhama chuo kama ukifanikisha hapo baadae. Ukishindwa hivyo subiri kuapply upya mwaka kesho. Hawapokei maombi ya mtu waliemchagua hata kama hujaridhika na katika mfumo wao hutoweza kuomba tena hata ucheze vipi.
Dilisha liko wazi mpaka sasa karbu utachelewa, WahSamahan second selection wanaanza kuaply lini?
Msaada jamani,,tupo wengi tunaohitaji kujua[emoji3526]Samahan second selection wanaanza kuaply lini?
NACTE 2nd round ishapita mpaka sasa mfumo umefungwa wanafanya uchaguzi. Hivyo subirini kama itakuepo round ya 3 japo sidhani