tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,405
- 1,181
Embu angalia vitu hivi
>PESA=chapaa,mkwanja,pepa,mawe,doo,mpunga,mapene.....N.K
>MWANAMKE=manz,demu,mchuchu,kiburudisho,king'amuz,mtoto,mamdii.....
>BANGI=kijit,ganja,msuba,mosh,kete,mjani.....
>RUSHWA=kitu kidogo,chai,hongo,takrima....
Na nyingine nying
hapo ndo naamin kwel umuhimu wa kitu upo kwenye kitu chenyewe
Neno rushwa linapunguzwa makali kwa kupewa majina rahisi,mf uzinifu ni ngono pia tendo la ndoa ni ngono
Rushwa=> "maji" au "maji ya kunywa"
Hata nywele kwenye mwili wa biaadamu kina majina mengi na pia kina umuhimi kama vile:
- Nywele za kichwani.
- Nyusi
- Ndevu.
- Mzuzu
- Mustachi
- Kope
- Masharubu na vingine sipendi kuendelea malizia mwenyewe kwakua sasa hivi watoto bado hawajalala!
mbona haujasema mwanaume anaitwaje!?
buzi, ATM etc
mbona haujasema mwanaume anaitwaje!?
buzi, ATM etc
Kwa ujumla Wanaume wanaitwa Wawezeshaji
Makalio,tuzu,bomole chee,wo wo wo,ngongingo,mkia,kinyesi,mgongo,donati,masabuli, n.k!na ukitaka kujua umuhimu wake ****** kalia kichwa!
Makalio,tuzu,bomole chee,wo wo wo,ngongingo,mkia,kinyesi,mgongo,donati,masabuli
Halafu ukute 'ke' anayajulia sasa...
unaweza uka.......
makalio,tuzu,bomole chee,wo wo wo,ngongingo,mkia,kinyesi,mgongo,donati,masabuli, n.k!na ukitaka kujua umuhimu wake ****** kalia kichwa!