UKIONA MWEZI KESHO KUFUNGA

mkuu wa kijiji

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2017
Posts
966
Reaction score
1,061
Asalaam alaykum,Ukiona mwezi popote mjulishe kiongozi wako wa Kidini ili wote tufunge Kwa pamoja
 
So far haujaonekana na inasemekana ni kesho kutwa
 
Kesho Ramadhani ndugu zangu...tujiandae kufunga!!
 
Kwa kawaida kenye kalenda ya kiislam hakuna 31 mwisho ni 30


Hivyo leo ni 01 Ramadhani ( Kuanzia magharibi )
Naiusia nafsi yangu na ndugu zangu katika imani tufunge kesho Allah akipenda pakikucha
 
Asalaam alaykum,Ukiona mwezi popote mjulishe kiongozi wako wa Kidini ili wote tufunge Kwa pamoja
Sasa jamani katika msikiti mingi si kunakua na mwezi na nyota?
Ina maana msikitini kwenu hamna mwezi mpaka we ushinde kumjulisha huyo kiongozi wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…