hii ipo pia kwenye mapenzi. Nyumba ndogo inapopiga simu mbele ya waifu utasikia mume anaanza....alooo....alooo....alooo hebu ongeza sauti. Haloo.....network naona mbovu hebu nitakutafuta baadaye.
Ahahahahaaaahh!!!Niliwahi pigiwa simu na boss sipo job nlimrushaa mpaka mwenyewe kaseize .nlitoa haloo ishirini kidogo
Hii nimeipenda...hasa ikiwa umekutana na mtu anaekudai...hapo lazima umtoke kiulaini...tena unamwambia ''ntakutafuta baadae''.Unasema? Kuna msiba! Kwa hiyo mko mochwari, au? Mbona sikupati vizuri? Teh teh...
Hii nimeipenda...hasa ikiwa umekutana na mtu anaekudai...hapo lazima umtoke kiulaini...tena unamwambia ''ntakutafuta baadae''.