Mkuu nakubaliana 100% na wewe...wengi watapingwa maana umewagusa ...sehemu mbayaUlienae anapenda kukutumia SMS nzuri na mwenye kauli mzuri na mahaba zaidi kipindi ambacho wewe mfuko wako umenona pesa, basi jua kabisa kwamba huyo sio MPENZI wala MKE wako bali huyo ni MPENZI na MKE wa pesa zako, hivyo unapaswa kutafuta MPENZI au MKE ambaye atakupenda, atakuhitaji na kukujali pasipo kujali hali ya kipato chako.
Japo ni ngumu sana kumpata mwanamke wa namna hii kwa Ulimwengu wa sasa asiyependa pesa labda utumie Dulubini ya kuchungulia sayari ya 7.....
Mkuu guno hilo vepeMmmh.
Nimeguna tu MkuuMkuu guno hilo vepe
Mmh. Jamaani Mshenga.Mbona umeguna au na wew upo??