watashangiliaje ukawa wote wamesema kama ukitaka kushangilia hakikisha upo umbali wa mita 200,
watu wana hasira sana,
ukawa wa dar es salaam hawakupaswa kuhudhuria kampeni viwanjani tu,
walipaswa wafanye kama ccm, waunde timu ya kutembea wilaya hadi wilaya, tarafa hadi tarafa, kata hadi kata, kijiji hadi kijiji, mtaa hadi mtaa, balozi hadi balozi, nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, shuka kwa shuka.....
Na hiyo ndiyo moja ya mbinu iliyotumiwa na ccm, ingawa vituo vyote vya itv havikuonesha hiyo mikutano lakini ndiyo iliyoleta ushindi....