Ukimya huu hauna walakini?

luhala

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
412
Reaction score
142
Wadau sasa ni karibia wiki moja tokea shambulio la bomu kule Arusha, hadi sasa tumetajiwa jina la mtu mmoja tu kati ya watu kadhaa walioshikwa kuhojiwa, wasiwasi wangu ni isije ikawa hawa askari wetu wenye 'weledi' wakaja kuibuka na nadharia itakayovuruga kabisa ushahidi wa waliohusika na mwisho wa siku tukaletewa majina ya watu ambao hata wakipelekwa mahakamani wataachiwa kwa vile ni machizi kama ilivyofanyika kwa watekaji wa Ulimboka!
Wasiwasi wangu ni kwa nini haraka haraka tulitajiwa jina la mtuhumiwa mmoja (Dereva wa bodaboda) sasa ni kwa nini majina ya waliobaki ni siri kubwa namna hiyo?
Naomba kuwakilisha.
 
Kwa hiyo wewe ulitaka iweje make wewe unajua ni mbumbumbu na huna taalaluma ya uchunguzi wewe unapaya walakini gani na ile hali hjui kinachoendelea wewe ni walewale wadini ,usituletee mambo ya ajabu humu.
 
Uwe unajaribu kujtafakari kabla hujaandika na jitahidi kujielimisha kwanza au uko milembe day?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…