Ukijifanya mjinga utapata vingi!

Prof. Jay alisema Hilo linaitwa ZALI LA MENTALI
 
Huyo hajakupenda wewe .. kuna kitu amependa kwako na kumbuka kikitoweka naye atatoweka tu!
 
Inapendeza...

Ila neno Boo... linatumiwa sana na wanawake kwenda kwa mwanaume wake...


Cc: mahondaw
 
Kwaio huelewi hapo kwamba huyo ni gold digger kama hujui definition ya nani ni gold digger ni mwanamke anaevutiwa na wewe baada ya kugundua una nafasi fulani au una jambo fulani ili kupata picha na video za ma gold digger nenda facebook au instagram search jina mtu anaitwa riskyrob TV jamaa anawaumbua wanawake wa aina tofauti tofauti..mwanamke anaefaa ni yule anaekukubali au anaekubali tongozo bila kujua nafasi yako katima jamii
 
Ni kweli
 
Kuna uyu bidada juzi kati alinikuta road nko na bae angu. Akaja akanipa romantic hug na 2 shavu kisses. Ila ata nikimuita sexy hataki...
 
mara nyingi mti mkubwa ukivunjika ndege huhamia kwa miti midogo..ninamaanisha kuwa aliyekuwa anampa kiburi AMEMTUPA nawe umeletewa MAKAPI pole
Ndoa haina makombo we unasema kaletewa makapi rekebisha kauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…