The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
[emoji116] [emoji115] huu ndio ukweliKumbuka lakin kunawengine wamemega hapo wakatupa kule
mara nyingi mti mkubwa ukivunjika huhamia kwa miti midogo..ninamaanisha kuwa aliyekuwa anampa kiburi AMEMTUPA nawe umeletewa MAKAPI pole
Mkuu Yale ni maneno tuu wewe wala usiwaze wewe kaa zako kimya msikilizieHapo ndiyo ninaposhindwa Mimi mwanamke akinijibu hovyo huwa sina shobo naye tena
Usikate tama mkuu utampata tuudah umenikumbusha jana mkuu kuna manzi naiongelesha ikatikisa kichwa tu ki ishara kwamba hataki ila poa dunia duara sema manzi mkali knomah
Hilo mm sitaki kulifikiria sasa hivi tuko pamoja hayo ni past tuna focus presentmara nyingi mti mkubwa ukivunjika huhamia kwa miti midogo..ninamaanisha kuwa aliyekuwa anampa kiburi AMEMTUPA nawe umeletewa MAKAPI pole
Usikate tama mkuu utampata tuu
HahahaaaaMkuu Yale ni maneno tuu wewe wala usiwaze wewe kaa zako kimya msikilizie
Tuambie mkuu udhaifu wao, ili na sie madomo zegr tumege kirahs!!WANAWAKE... wana udhaifu fulani hivi... ambao SISI wanaume wengi wetu Tumeshindwa kuugundua na kuufanyia kazi.. kwa waliougundua.. wanajipigia tu...
NAPENDAGA demu anijibu UTUMBO... ndio starting point.. usalama wake AKAE KIMYA
Kazi kuchekacheka kwenye thread za watu.....hebu nenda kamalize Uzi wako hukoo....[emoji23][emoji23]