Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Alafu unajiita mwanaume!? Hivi lini wenzetu mtaelimika? Hii aina ya wanaume wananitia kichefuchefu kabisa cha kusikitisha ni wengi sana.Hivi hamuwezi kuwa na utu? Mnawaza papuchi tuuuu, akili zimeganda ka nta. Dada yako nafanyiwa hivyo hivyo, mtoto wako wa kike atafanyiwa hivyo hivyo dah! So sad!

acheni tabia za kichangu kwenye mahusiano wala hutaona shida, sasa kama wewe ni mpenzi wangu huku una act kichangu unategemea nini, utaliwa bue tu.
wanawake msiojielewa mtaishia kuliwa tu na kuachwa maana hamueleweki

AKILI yako na UELEWA wako uko sahih maana inaonekana ndio tabia yako! Lakn na ww si una dada, watoto, n.k watanyonyolewa