Ukidhaniacho ndicho, kumbe sicho

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,147
Reaction score
20,085
Juzi hapa nikaingia choo cha kike, kam wiki 2 zimepita, nilikua nimegombana na mpenzi wangu nikaamua kutaka kuanzisha mahusiano mapya.

Nikataka kuanzisha mahusiano na wadada wa saizi ya kati ya maisha nikiamini hawako material oriented sana kama watoto first class. Kumbe I was wrong.

Basi hapa karibu napoishi kuna kabinti karembo kweli ila naona kanaishi maisha ya kawaida, nikatafta namba yake nikaipata nikakatafta hewani tukazungumza, mwanzoni kakaonekana hakataki mwanaume kwamba kameumizwa sana hakana ham na me, basi mwanaume nikajua nikashuka verse za kutosha nikianza kujiaminisha ni katoto descent may be tutafika mbali kumbe wapi.

Weekend iliyofuata kakataka mtoko nikakavusha maji kwenda beach moja ya kigamboni,,tukainjoy sana,nikaomba mchezo,kakatoa nje kwamba mapema sana vitu vzr havitaki haraka.

Usiku tukaongea sana on that very same day nikasisitiza ombi langu la msingi kakasema bado, ila kakaishu demand kwamba kanahitaji msaada flani wa kifedha kiasi kikubwa kdogo, hapo tu nikawa na wasiwasi na hako katoto, nikasema anyway, nikakambia kanipe siku chache ntaclear.

Baada ya siku kadhaa nikakumbushia ombi langu la msingi,, kakaniambia kama nataka penzi nihakikisshe natimiza lile ombi lake la kifedha, nikajua hapa nimeingia choo cha kike,haka ni kacchangu, nikakauliza unaniuzia? Kakasema hunipi pesa penzi hupati. Nikakauliza lini sasa, kakasema hela hiyovikipatikana tu kanatoa penzi, nikakambia kesho yake tuonane kapata haki yake.

Kesho yake nikakapeleka kiwanja cha mbali kidogo maana ilikua weekend, nikakafanyia mambo kisha hata mia sikukupa kisha nikakaacha huko hata nauli sijakapa.

Wanawake wajuaji hiyo ndio dawa yao. Wale machangu wa makaburini wananijua sana, nimewala sana kwa mkopo au kuishia kulipwa elfu moja. Hii ni sawa pia kwa wapenzi wanaojifanya hawatoi penzi hadi wapewe hela.
 
We we hufai Mkuu. Ningesema ni mkatili, bandidu, ghaidi ila sitasema.
 
AKILI yako na UELEWA wako uko sahih maana inaonekana ndio tabia yako! Lakn na ww si una dada, watoto, n.k watanyonyolewa
 
Tanzania eeeee,nchi yangu eeeh
Naipenda eeeh, karibuni muione....
 
umekala bure alafu upo naye mtaa mmoja huoni noumer mkuu?
 
Umejiona kidume eeh? Mwanamke Ni Mama yako, Ni mwanao, Ni Dadako, Ni mkeo, usimfanyie vibaya halafu ukajisifu huo Sio uwanaume, mwanamme ni Yule anae muona Mwanamke hana nauli ya daladala akampa Au akamsaidia bila kutaka chochote na akasahau.. Shame on U...
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1438446595.307455.jpg
    34.9 KB · Views: 526
Umekala bure....aiseee nakutamani

mkuu bure kabisa hata mia hakakupewa, labda kalifaidi ule mtoko tu ila kaliishia kuliwa bure hata hakaamini kilichotokea hadi leo,hakataki hata kuniona,kameniblock social media zote na hata namba yangu kamefuta.

kanasali efata eti kakanitishia kwamba kataniombea nipate matatizo nikacheka sana.
 
umekala bure alafu upo naye mtaa mmoja huoni noumer mkuu?

kenyewe ndio kanaona noma sio mimi, hata hakataki kuniona kabisa. mimi nilidhani kako descent kwa muonekano na kaumbile kazuri huku kanajifanya kadini sana kumbe kachangu, kaliishia kuliwa bure hata mia hakakupewa, kalilaani sana
 

Alafu unajiita mwanaume!? Hivi lini wenzetu mtaelimika? Hii aina ya wanaume wananitia kichefuchefu kabisa cha kusikitisha ni wengi sana.Hivi hamuwezi kuwa na utu? Mnawaza papuchi tuuuu, akili zimeganda ka nta. Dada yako nafanyiwa hivyo hivyo, mtoto wako wa kike atafanyiwa hivyo hivyo dah! So sad!
 

Sema wewe Asabaya...Tanzania imejaa mianaume ya aina hii!
 

acha unafiki kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…