Ww uko kwenye stage ya tatu ya stress, unapokuwa na matatizo alafu ukaanza kujisikia vizuri tu bila sababu huku ukikera wengine tayari uchizi unaanza. Ww ni mgonjwa kwa sasa tafuta tiba mapemaInakuwaje wanajamvi!
Hakuna kitu kibaya katika maisha kama usongo wa mawazo (stress/dipreshen).
Nitafute tiba mara ngapi?Ww uko kwenye stage ya tatu ya stress, unapokuwa na matatizo alafu ukaanza kujisikia vizuri tu bila sababu huku ukikera wengine tayari uchizi unaanza. Ww ni mgonjwa kwa sasa tafuta tiba mapema
GT na tutamkumbuka tuuuSasa ukiwa na stress halafu uvute bangi si ndio utakuwa chizi kabisa? Hata anaekunywa pombe kwa stress mwisho wake sio mzuri.
Mkuu uliyoandika haisaidii kitu. Tumeshayasikia miaka nenda rudiMimi nimewahi kuwa mtumiaji mkubwa wa bangi na pombe.najua hakuna faida yoyote zaidi ya kujiongezea stress..bangi haipunguzi stress inaleta wasiwasi na woga...
Daaa, nakushauri mapema tafuta njia mbadalaInakuwaje wanajamvi!
Hakuna kitu kibaya katika maisha kama usongo wa mawazo (stress/dipreshen).
😄😄😄😄 Chalii angu hii njia yako ya "kuwawin members jamvin kisaikolojia" hua inanichekesha Sana aiseee.Wajuba hua wanapaniki kishenziiiiiiInakuwaje wanajamvi!
Hakuna kitu kibaya katika maisha kama usongo wa mawazo (stress/dipreshen).
Hasa stress ya kufulia huna hela ama stress ya kugongewa waifu ama demi stress za usaliti na kudhulumiwa.
Ukicheza na kuendekeza stress bila kuchukua njia mbadala za kuidhibit utakufa kizembeeee.
Nitafute njia mbadala mara ngapi?!!!Daaa, nakushauri mapema tafuta njia mbadala
Naunga mkojo hoja.Ww uko kwenye stage ya tatu ya stress, unapokuwa na matatizo alafu ukaanza kujisikia vizuri tu bila sababu huku ukikera wengine tayari uchizi unaanza. Ww ni mgonjwa kwa sasa tafuta tiba mapema
Stress hawapati watoto wadogoKuna mdau humu alishauri mods wangeweka sehemu ya umri chini ya post…..
Sikumuelewa alichomaansha ila sasa ndo nmeona mfano halisi kwa nn alisema vile…
SASA UKUTANE NA MWANA JF NA UKAAMUA KUMKERA, HALAFU YEYE ANA-TAKE EASY..! ASIKEREKE NA KERO ZAKO..!! wallah stress zitakuongezeka..Inakuwaje wanajamvi!
Hakuna kitu kibaya katika maisha kama usongo wa mawazo (stress/dipreshen).
Hasa stress ya kufulia huna hela ama stress ya kugongewa waifu ama demi stress za usaliti na kudhulumiwa.
Ukicheza na kuendekeza stress bila kuchukua njia mbadala za kuidhibit utakufa kizembeeee.
Ndo maana mimi na njia zangu mbadala za kuchallange stress.
Njia ya kwanza na muhimu na imenisaidia Sana kupambana na stress ni uvutaji wa sigara, bangi na other 'stronger substances'. Kwa kweli haya mavitu yamekuwa msaada Sana kwangu. Yani Kila nikiyatumia IQ yangu inatengamaa. You just feel like the world is revolving around you and you have that sense you are breathing flavored oxygen. Mawazo Yako yanakutuma tu kufikiria to make the world a better place for future generations.
Njia ya pili ni kuwawin members jamvin kisaikolojia. Yani unamkuta member flani mnyonge unamuapproach kidesign na k up mprovoke na kumkera. Anapokujibu kwa kukutukana Ndo furaha Yako. Yani unafurahi kichiz stress inatoweka. Wiki iliyopita nilimvaa member Ezekiel Mbaga Yani nilivyotukanwa ilikuwa mfululizo wa matusi ya hatari. Nilifurahi kichiz nakurukarika.
The stress challenger.
Prince Kunta wa kupuliza hydroxo Ncha Kali Glenn Chaliifrancisco Moisemusajiografii
Tafuta pesa tu mpenzi anakuja automatically haswa ukiwa ushapata pesaPesa sina mpenzi sina yaani sielewi nafanya nini duniani[emoji22]
Wanapata, zinazolingana na umri wao..!!Stress hawapati watoto wadogo
Mkuu ata mimi juzi juzi nilitamani jufanya kama yako lakini nikapiga chiniNitafute njia mbadala mara ngapi?!!!