Ukiacha Wabunge, kundi jingine linaloila keki ya taifa kisawasawa ni hili hapa

JF ni anonymous sasa unaweka namba za simu tukizitumia tukakukamata kukuhoji halafu tukakubinya pumbu kisawasawa utamulaumu nani..?
 
Pole.Halmashauri hakuna hela.Unawaonea bure.Fanya utafit andika tena
 
Umesahau Kuna wakuu wa Idara ambao Wana mafungu yaani ni maofisa masuuli ,pesa za Utawala wanaamua wenyewe wazifanyaje kiasi wale watu wa chini mtaishia kuugulia maumivu Hadi mkome..

Huu ni upuuzi,Mkuu wa idara apate Salary ya ukuu wa idara ila sio benefits hizo zingine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…