chilamanyika
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 405
- 272
SACCOS ya Mbowe karibu inaelekea kaburini watabaki mafisadi papa tu!!Diwani mwingine "OUT" CHADEMA ajiunga CCM Diwani mwingine "OUT" CHADEMA ajiunga CCM - MUUNGWANA BLOG
Sent using Jamii Forums mobile app
Milioni 100 mkuu ela za wavuja jasho endeleeni kulipa kodi kwa moyo.
Usichoke kamanda...piga moyo konde!
Kwa siasa za bongo inahitaji moyo wangu chuma, bora ingebaki Tanu tuUsichoke kamanda...piga moyo konde!
Mara nyingi tunaamini wanasiasa wanaweza kutatua matatizo yetu lakini tunasahau ni haohao wanasiasa wanaleta MATATIZO, kwa mfano kwenye kampeni zake aliahidi ,huduma bora za elimu, afya, miundombinu nk kwa kuhama kwake kodi zetu inabidi zitumike kufanya uchaguzi badala kuendelea kuboresha huduma kwa wananchiDiwani mwingine "OUT" CHADEMA ajiunga CCM Diwani mwingine "OUT" CHADEMA ajiunga CCM - MUUNGWANA BLOG
Sent using Jamii Forums mobile app
Usichoke kamanda...piga moyo konde!
akitokea mtaa wa watuhumiwa wa ufisadiAkawasalimie magambani.
Akielekea kwa mafisadi wenyewe.akitokea mtaa wa watuhumiwa wa ufisadi