Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 929
maumbile tu,wengi wana maumbile makubwa kama ilivyo wanazaliwa wanene wengine wembamba,wengine pua refu
lengo ni kutokomeza tatizo.
Najua hapa kuna watu wengi wenye taaluma tofauti tofauti, ivo naamini tatizo hili linaweza kupata majibu sahihi, mazur na yenye tija kwa wote.
Ni kitu gani kingine kinachosababisha uke kua mkubwa ( mpwerepwete) tofauti na kuzaa.
Nilikua najua labda kuzaa kunaweza kusababisha uke kutanuka na kushindwa kurudi kwenye hali ya kawaida kwa wakati au kutorudi moja kwa moja.
Cha ajabu unakuta ata kwa wasichana WA chini ya miaka 20 ambao hawajawai kuzaa wana matatizo haya ya uke mpwerepwete.
Kama kuna mtu anajua tafadhari atupe majibu sahihi na namna ya kumsaidia mtu mwenye matatizo haya.
Watu wengi wamekua wakiwakimbia wapenzi wao kwa matatizo haya.
Mi naona jambo jema ni kumsaidia kuondoa tatizo hili mapenzi yaendelee.
Tafadhali kama hauna majibu sahihi usibadili hali ya hewa lengo ni kutokomeza tatizo.
Karibuni
Mkuu, hapa kuna mambo mawili ninayo yajua
A. maumbile, hapa kuna watu wamezaliwa hivyo wanamaumbile makubwa..
B. Kuna mambo ya jinsi ya kujisafisha kuufanya uke usipanuke , mambo ya kuondoa utoko ukeni (makungwi wanajua zaidi hapa)
kuzaa hakufanyi uke kuongezeka kwani baada ya kujifungua uke hurudi katika hali yake ya awali...
kuzaa hakufanyi uke kuongezeka kwani baada ya kujifungua uke hurudi katika hali yake ya awali...
Kweli kabisa, hakuna uke mkubwa wala mdogo, inategemea na mashine zinazo pitaga hapo, km unaelea basi jua mashine co saiz yake. Lkn hilo halisababishi ushindwe kimgegeda demu, inategemea na unavo kitumia kibamia chako ila wakitokea wenye midushe watakubebea jumla labda uwe na pesa lkn bado watakumegea. Ila ongeza juhudi na kukatika ili awe anaridhika, wangoni wengi ni vibamia lkn akipata dem ataimba nyimbo zote so km unamridhisha af ni mstarabu basi atatulia japo atayamisi sana mamitalimbo.Kimsingi ni kuwa hakuna uke mkubwa wala mdogo isipokuwa kanuni inasema kuwa kila spana inafaa kwenye bolt yake au nati yake...ukiona spana haiumani kisawa sawa na bolt au nati na unapata tabu kufungua basi ujue hiyo siyo spana yake....na ukilazimisha utaharibu bolt na spana.....TAFAKARI CHUKUA HATUA....
You are not seriouskuzaa hakufanyi uke kuongezeka kwani baada ya kujifungua uke hurudi katika hali yake ya awali...