Uke kutoa sauti (Kujamba) wakati wa kujamiiana

kama ukiwa team kibamia vitu hivi vinawezakutokea kama inamfit hiyo hewa inapata wapi pa kutokea
 
well said
tatizo unaweza taja wa 25 kazi ikaishia hapo hapo
teh teh

Unamuambia huku ukimpetiti, na jicho likiwa limelegea la design ya wivu machoni pake, huku mzee abda akiwa mahala pake ana vutwa vutwa na kajoto, alafu uone atafanyaje
 
Ili isikutokee hiyo hali inabidi uuingize uume kwa mtindo mwingine wowote km kifo cha mende kisha utumie umahiri wako kugeuka nae uume ukiwa bado upo ndani.hii inasaidia kutoingiza hewa.Na utaendelea km kawaida.
Kwani hili likitokea hata huyo mwanamke hujisikia vibaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom