MamaYanguTanzania
New Member
- May 8, 2014
- 2
- 0
Kwanini kwa umoja wenu huo mlionao msiutumie kutimiza matakwa yenu bunge la katiba, instead mnapewa forum hamtumii na kututishia tu what you might do. Sasa mchakato mmeukacha, bdo uchaguzi mnatishia mtaugomea. Mtaishia kuwaacha CCM waogoze tu, manake mkisema waendelee kuprevail na nyie bungeni hamtaki kwenda, in the ende nyie ndo mtakua chanzo cha machafuko nchini mwetu. Jambo ambalo watanzania hatutawza kuruhuru litokee hata kidogo. Mkachafue bungeni ukouko lakini sio mje kutupganisha sisi wananchi kwa ajili ya maslahi yenu UKAWA. Nawaunga mkono sana Chadema. Zitto n Mnyika inspires me a lot but, we can't hold your hand in this. Mtafute means iliyo sawa na si kuwawekea wananchi hofu ndani ya vichwa vyao. Kuwajali wananchi ni pamoja na kutokuwatesa kifikra hivo ndivyo tunavyotegemea nyie mtufanyie.
mbona unahangaika sana
Join Date : 8th May 2014
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
Je hofu ya ukawa kutoka bungeni inatoka wapi?Mtafute means iliyo sawa na si kuwawekea wananchi hofu ndani ya vichwa vyao. .
mziki wa ukawa.utausikia muda simrefu,ikitu ya kuungana tulikua tunaingojea kwa muda mrefu sani,ccm sasa maji ya shingo,
Unataka warudi bungeni wakawe rubber stamp ya CCM kupitisha mambo yao!!! Wamepandikiza woga upi kwa wananchi??! Hebu fafanua