Kweli it makes sense. Maana Kina Mbatia, Mbowe, Lembeli, n.k wanatakiwa wawe majimboni kwao mkesha wa uchaguzi.
Otherwise it is too risky kwa mtu kama Lembeli kuwa Jangwani hadi 6pm alafu FastJet i-cancel flights Za Mwanza. Hatafika Kahama kujipigia kura.
Kweli wafanye ijumaa tarehe 23 kama itawezekana ili jumamosi watu waitumie kujipanga kupiga kura bila pressure
✌
asante kwa kuliona hilo
kwani hawana watu wengine wa kuzungumza siku ya kufunga kampeni...mpaka awepo mbowe, lembeli, ester, n.k mbona akina kingunge wapo...