AMANI TANZANIA
Member
- Jun 11, 2015
- 5
- 2
ungekuwa na akili timamu ungemtaka alie tuita malofa na mbumbumbu watanzania atuombe radhi kwanza,hapo unaonyesha kwamba wewe ni mjinga kati ya wajingaWanajukwaa, nimeshuhudia sarakasi za ukawa bungeni kwenye uteuzi wa kamati. Haiingii akilini kwa mtu kwenye akili timamu aliyeichagua UKAWA Leo anaambiwa mbunge wa Ukawa hana kiwango cha kuwa kwenye kamati ya PAC na LAAC. Ukawa watuombe radhi wapigakura kwa kutuletea wagombea wasio na viwango na kutuaminisha ktk mabadiliko hewa!
Mwandishi wa mada hii kaonyesha ni kwa kiasi gani alivyo na weledi "finyu". Vyama vya siasa huwakilisha orodha ya Wagombea wake tume ya uchaguzi kwa ajili ya kuona kama wana vigezo. Tume ikikupitisha basi una vigezo.
Pengine kwa tafsiri yako wewe mtu kuwa JEMBE lazima awe na Vyeti vya PhD au awe profesa. Lakini tambua tuna "formal" education na "infomal" education,hivyo vigezo walivyokosa ni vipi? Maana hujavieleza bayana zaidi ya kujitambulisha kama mtu "mwenye kuripoti udaku".
MhhhhWanajukwaa, nimeshuhudia sarakasi za ukawa bungeni kwenye uteuzi wa kamati. Haiingii akilini kwa mtu kwenye akili timamu aliyeichagua UKAWA Leo anaambiwa mbunge wa Ukawa hana kiwango cha kuwa kwenye kamati ya PAC na LAAC. Ukawa watuombe radhi wapigakura kwa kutuletea wagombea wasio na viwango na kutuaminisha ktk mabadiliko hewa!
Sasa haya maelezo yote njoo uje kuwauliza UKAWA, kwa nini wanakataa baadhi ya wabunge wao eti hawana uwezo? Ni dhaifu sana hawafai kuwemo katika kamati ya PAC au LAAC