Ninyi CCM muwe wapole mwaka huu watanzania tutawaonyesha rasmi kuwa tumeichoka CCM na hatuitaji mtu yeyote toka chama chenu,tunawapiga chini mchana kweupe hamta amini.Huyo mtu wenu JPM alisema mwacheni Jk azurure kutafuta hela duniani sasa huyu ndio walewale kasoro sura tu,sasa mjiandae kisaikolojia oktoba 25. Uongo wenu umetuchosha kwa miaka mingi CCM baibai tunakuaga baibai.