Kama mna uhakika kuwa wapo wanafunzi wa vyuo ambao ni wapenzi wa UKAWA ambao wamejiandikisha lakini hawatapiga kura kwasababu ya kuwa likizo mbali na walikojiandikisha ni vema mkaratibu mapema zowezi la kuwatambua wale watakaokosa uwezo wa kurudi kwenye maeneo yao ya kupigia kura ili waje kupiga kura. Itakuwa gharama lakini hainabudi iwe sehemu ya gharama zenu za uchaguzi. Msipoteze kura yenu hata moja. Mkifanya hivyo njia hii ya kuwakosesha wanafunzi kupiga kura haitatumika tena kama mbinu chafu ya kushinda uchaguzi siku zijazo.
Huo ushauri anapewa mangi, au nani!Kama mna uhakika kuwa wapo wanafunzi wa vyuo ambao ni wapenzi wa UKAWA ambao wamejiandikisha lakini hawatapiga kura kwasababu ya kuwa likizo mbali na walikojiandikisha ni vema mkaratibu mapema zowezi la kuwatambua wale watakaokosa uwezo wa kurudi kwenye maeneo yao ya kupigia kura ili waje kupiga kura. Itakuwa gharama lakini hainabudi iwe sehemu ya gharama zenu za uchaguzi. Msipoteze kura yenu hata moja. Mkifanya hivyo njia hii ya kuwakosesha wanafunzi kupiga kura haitatumika tena kama mbinu chafu ya kushinda uchaguzi siku zijazo.
Wakawa Wanipe hiyo pesa aisee, niipige kimya kimya, lkn kwenye kiboxi namchinja fisadi. Huu ndio msimamo wa wanazuoni.
Ni hivi! Vijana wa vyuo vikuu asilimia 80 wameshajitambua na wameshatoa tamko watampigia Magufuli. Kwa topic hii unataka sasa kuravza Magufuli ziendelee kuongezeka au siyo? Kule hakuna chetu. Wengi wao walikuwa pro Dr Slaa na Prof Lipumba. Kwa sababu ndio wasomi wenzao na wanawakubali. Leo hii my friend makamanda hawa wameondoka nao woooote karibu. Wengine aliwachukua Zito kabwe ambaye wanamwita Role modal wao. Kazi ipo! Mwaka huu tutapigwa mpaka tutafute mchawi humu humu ukawa.Mkuu kweli asee naona wanafunzi wa vyuo wanapoteza haki yao ya msingi kbs
Ni hivi! Vijana wa vyuo vikuu asilimia 80 wameshajitambua na wameshatoa tamko watampigia Magufuli. Kwa topic hii unataka sasa kuravza Magufuli ziendelee kuongezeka au siyo? Kule hakuna chetu. Wengi wao walikuwa pro Dr Slaa na Prof Lipumba. Kwa sababu ndio wasomi wenzao na wanawakubali. Leo hii my friend makamanda hawa wameondoka nao woooote karibu. Wengine aliwachukua Zito kabwe ambaye wanamwita Role modal wao. Kazi ipo! Mwaka huu tutapigwa mpaka tutafute mchawi humu humu ukawa.