Sikonge mada zingine uwe unasubiri tufike home. Hapa umenitia hasara, tuko kama wanane hivi na wengine wanapiga Heinkein na baada ya kusoma post yako imebidi Nipige round mbili za haraka na kuna uwezekano zikaongezeka kwa hamasa ya post yako.
Aah haya bwana, ila nikiondoka sina kitu mfukoni nitaoendekeza upigwe ban kila siku jioni.
Kula like