Binafsi napenda kuupongeza Umoja wa UKAWA kwa jinsi walivyosimama kidete katika kuhakikisha kuwa Mswada wa Skandali ya ESCROW haupigwi chini! Lakini kubwa zaidi ni jinsi walivyokuwa Imara kama jembe lililo na mpini wa chuma.
Hakika mnasitahili pongezi zaidi.

kwanini alakiwe Mbowe?kwa lipi kubwa alilofanya?
acha kupotosha. kuna wanaccm wengi tu wamefanya vizuri tena zaidi hata ya wengi wao hao ukawa. mfano filikonjombe, Ally kessy, Ole sendeka, wasira, Mwingulu, kigwangwala na wengineo wengiBinafsi napenda kuupongeza Umoja wa UKAWA kwa jinsi walivyosimama kidete katika kuhakikisha kuwa Mswada wa Skandali ya ESCROW haupigwi chini! Lakini kubwa zaidi ni jinsi walivyokuwa Imara kama jembe lililo na mpini wa chuma.
Hakika mnasitahili pongezi zaidi.
MWACHE MBOWE ni jembe.yaliyotokea jana yanatokana na alichofanya juzi.hufuatilii nini
binafsi napenda kuupongeza umoja wa ukawa kwa jinsi walivyosimama kidete katika kuhakikisha kuwa mswada wa skandali ya escrow haupigwi chini! Lakini kubwa zaidi ni jinsi walivyokuwa imara kama jembe lililo na mpini wa chuma.
Hakika mnasitahili pongezi zaidi.