UKAWA mtanyooka tu....!

Nakuhakikishia zile zilikuwa porojo tu
Hawana ubavu huo,
Kipindi cha kampeni walitoa matamko kama hayo,
"Hatutatoka vituoni kulinda kura zetu
Patachimbika "
Mwisho wasiku hahaha chezea Vibendera wewe.


HAPA TULIA
KULE MAGUFULI!!!
Elimu ya ngumbalu
 
WAMESHA NYOOKA MAANA HAWANA JIPYA KAMA RAIS HASIPO FANYA AU KUSEMA JAMBO NAO HAWANA LA KUWAMBIA WANANCHI... WANASUBIRI MH RAIS ATAKACHO SEMA LEO JIONI PALE KARIMJEE NA WAO WACHUKUE MANENO WAYAPENDAYO WAFANYE TOPIC?
 
Hivi kwa mawazo ya watu wa lumumba ndyo haya nawaza tz ya viwanda tutaipataje!
 
Una sura nzuri fulani pia

Haya piga kazi kijana
 
Umetumia na Jina halisi + picha yako halisi angalau nawe uzingatiwe

Eti wadau ni uteuzi gani umebakia
 
Du!
Kweli alie kuzaa anamtihani

Nakuhakikishia huwezi nifahamu hata sikumoja juhaa kweli!!!

Respect kutoka kwa mpuuzi itanisaidia nini hahaha!!

Unafurahisha wapumbavu wenzie
Utasoma magazeti ya kutupiwa na wenye ofisi hadi urudi kwenu mwandiga mikono mitupu
 
Hii iende jukwaa la watoto,hapa tunataka hoja chokozi sio vihoja vyakindezi
 
Andiko la hovyo kabisa msimu huu. Unajifanya kutojua yaliyotokea na yanayoendelea kutokea dhidi ya mikutano ya vyama vingine (ya ndani na nje). Najuta hata kufungua uzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…