Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
siku zote natafakari busara, akili, mazingira na wakati uliolazimisha vyama vikuu vya upinzani tanzania kusahau historia mbaya, kuachana na umimi na kuunganisha nguvu na kuwa kitu kimoja - siitazami ukawa kama kete muhimu katika uchaguzi mkuu uliopita ambapo lowasa alishinda, bali jinsi ilivyojenga uwanja mzuri katika kutekeleza na kutatua migogoro isiyo ya lazima - zoezi la uchaguzi wa mameya, wenyeviti wa halmashauri limekwenda vizuri sana chini ya ukawa, mgogoro wa zanzibar - msimamo safi kutoka ukawa. Tunashauri ukawa ijijenge kimfumo na kitaasisi ili kupanua fursa zaidi ya uwakilishi mbadala kwa wananchi.
Bado watu wana imani nao
Kauli walizowahi kutoa Viongozi wa UKAWA kuhusu Lowassa Atakayemuunga mkono Lowasa apimwe akili - Msigwa CCM wamempa fomu kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jela, wametudharau watanzania - Lipumba. Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani - Mbowe NI heshima KWA Mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa - G.Lema Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) - Slaa Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika HAO NDIYO VIONGOZI WETU!!