commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Kama mwanajamvi alivyoshauri jana hawa maharamia Tanesco wamechukua umeme huku maeneo ya Nyakato Mwanza!
Na wewe naona ulishalaaniwa siku nyingi maana hata ka-jenerator kadogo ka umeme nyumbani kwako huna.Hizi ni dalili tosha kuwa Ulishalaaniwa.
Mlaaniwa kama wewe huwezi laani Tanesco
Na wewe naona ulishalaaniwa siku nyingi maana hata ka-jenerator kadogo ka umeme nyumbani kwako huna.Hizi ni dalili tosha kuwa Ulishalaaniwa.
Mlaaniwa kama wewe huwezi laani Tanesco
Sio kila Mtanzania ana uwezo kama wewe!!
Wengi tunatumia cable provided network hi yo Lila MTU akiwa name generator so suluhisho kwani...Kyle kwenye main supplier ma dish take yanakuwa power lessNa wewe naona ulishalaaniwa siku nyingi maana hata ka-jenerator kadogo ka umeme nyumbani kwako huna.Hizi ni dalili tosha kuwa Ulishalaaniwa.Yaani umeme ukikatika tu waweza lala giza ukiwa uchi.
Mlaaniwa kama wewe huwezi laani Tanesco
Wengi tunatumia cable provided network hi yo ila MTU akiwa na generator so suluhisho kwani...Kule kwenye main supplier ma dish yake yanakuwa power lessNa wewe naona ulishalaaniwa siku nyingi maana hata ka-jenerator kadogo ka umeme nyumbani kwako huna.Hizi ni dalili tosha kuwa Ulishalaaniwa.Yaani umeme ukikatika tu waweza lala giza ukiwa uchi.
Mlaaniwa kama wewe huwezi laani Tanesco