commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Imekuwa kawaida ya tanesco kukata umeme seehemu mbalimbali nchini.hususan kunapokuwa na mijadala migumu bungeni inayoibana serikali.
Kama sasa hivi wakati tukisubiri kuanza kikao cha bunge 25/11/2014 tayari wamekata umeme hapa Mwanza.na sijui kwingineko nchini?
hili lijidhihisha wazi kama tukio la kupangwa hususani kutufanya tulip wengi tusipate furs a ya kuona madudu ya escrow
Nawaomba wabunge hasa wa ukawa muombe muongozo wa hili bungeni maana tanesco tunawalipa na ni haki yao kutuhudumia na si kutumika kisisa na kifisadi kama hivi