hii imetokea juzi kwenye uzinduzi wa chama cha nccr...kwenye majimbo ya ushetu na kahama....viongozi wa ukawa wamekuwa wakitupiana maneno makali,huku bwana juma protas wa chadema akionekana kuwapa kisogo nccr ....baada ya nccr kuweka mgombea jimbo la ushetu na chadema nao wakaweka...pi ktk funguzi za udiwani mjini kahama...vyama vyote vimeweka wagombea...je?hapa ukawa mbona wanawachanganya wapiga kura....kwahali nsitofahamu imetokea kata ya mhongolo baadhi ya vijana wa CHADEMA walivamia mkutano wa nccr na kuanza kumzomea aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoani shinyanga bwana Machanga aliyehamia nccr..hivyo mpaka jeshi la polisi kuingilia kati na kuwakamata hao vijana...zomeazomea hii bado inaendelea wilayani hapa..hii inatatia wasiwasi na viongozi wakuu wa UKAWA mmekaa kimya sana.

Tatizo watu huwa mnapenda kuleta mada humu kama mmetekenywa mahali.
Scenario yako inahusikaje na UKAWA kusambaratika rasmi hapo?!
Pole yako...
Tumia basi hata udogo wa akili yako..
Kichaa akikwepa gari basi anajitambua..
Wewe sijui wa wapi?