UKAWA, huu wimbo uliishia wapi?

Malilambwiga

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
485
Reaction score
296
Kabla ya vyama vya siasa havijaanza mchakato wa kuwapata wagombea wa Urais,Udiwani na Ubunge kulikuwa na wimbo unaosema " Polisi msitupige mabomu Chadema ni Serikali ijayo". Nionavyo mimi huu ndiyo wakati wake mbona haupigwi ktk kampeni
 
Siyo lazima uusikie wewe kwani wewe polisi? na kama wewe polisi ujumbe umeupata tayari nini zaidi unataka?
 
Kabla ya vyama vya siasa havijaanza mchakato wa kuwapata wagombea wa Urais,Udiwani na Ubunge kulikuwa na wimbo unaosema " Polisi msitupige mabomu Chadema ni Serikali ijayo". Nionavyo mimi huu ndiyo wakati wake mbona haupigwi ktk kampeni
wimbo upo ni wewe tu huhudhurii mikutano, unasubiri clips

BTW, wajinga na wapumbavu wako fiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…