Tuelezee hiyo plan B. nini kifanyike?.
.
Malengo ya revolution zote hizo zilizoprove mafanikio ndio malengo ya UKAWA sasa je kwa nini mbinu zitofautiane?
UKAWA MJIANDAE KISAIKOLOJIA NA MUWE NA PLAN "B" WANANCHI TUPO TAYARI.
Roho inaniuma hadi natetemeka.
Nilichokiona na nidhahiri wengi wamekiona ni kuwa kilichotokea bungeni ndicho kitachotokea kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Kwa sakata hili hapana shaka kuwa demokrasia inawataka pasi na kificho wahusika wawajibike.
Rais Lincoln wa Marekani alipata kuifafanua Demokrasia kama "is the government of the people for the people and by the people"
Sasa basi ukichunguza kwa makini ni kuwa CCM hawaitaki demokrasia Tanzania na ndio sababu ya yote yaliyotokea bungeni kwani wanaamini serikali ni ya viongozi na ipo kwa maslahi yao.
Hapana shaka kuwa katika uchaguzi mkuu 2015 demokrasia itaitaka CCM iachie madaraka kwani demokrasia inaamini serikali ni ya majority na ipo kwa ajili ya majority hivyo hapana shaka kuwa wananchi wataisulubu CCM kwa kuinyima kura, hapo ndipo penye ushauri wangu
"CCM IMEKATAA DEMOKRASIA KUTUMIKA KUWAWAJIBISHA VIONGOZI WABOVU JE ITAKUBALI YENYEWE IWAJIBISHWE KIDEMOKRASIA MWAKANI?
JIBU NI HAPANA WATAPINDISHA UKWELI, WATAIBA KURA, WATAHARIBU UCHAGUZI.
Viongozi wa UKAWA wanapaswa kuzingatia kuwa demokrasia haijawahi kuwa msaada kwa nchi yoyote katika kuondoa mafisadi, wahujumu uchumi na uongozi mbovu kwa ujumla.
Uingereza, Marekani,Ufaransa, Ujerumani hawakufika hapo kwa msaada wa demokrasia ndio maana katika historia kuna English revolution, French revolition, American revolution.
Malengo ya revolution zote hizo zilizoprove mafanikio ndio malengo ya UKAWA sasa je kwa nini mbinu zitofautiane?
UKAWA MJIANDAE KISAIKOLOJIA NA MUWE NA PLAN "B" WANANCHI TUPO TAYARI.
M/kiti wa tume ya uchaguzi anateuliwa na rais,ambae wakati mwengine na yeye rais akiwa ni mmoja wa hao hao wagombea!huku pia ni m/kiti wa chama kimojawapo kinachoshiriki huo uchaguzi.....hivi na vinginevyo vingi tu ndio vioja vya katiba ya mue-scrow na six tunayolazimishwa nayo iwe yetu sote..HATUITAKI HII HAITUFAI SISI KAICHAMBIENI NA WATOTO ZENU
Wale wazee wa Makumbusho ndio wakwamishaji wakubwa wa zoezi zima la kura...
Roho inaniuma hadi natetemeka.
Nilichokiona na nidhahiri wengi wamekiona ni kuwa kilichotokea bungeni ndicho kitachotokea kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Kwa sakata hili hapana shaka kuwa demokrasia inawataka pasi na kificho wahusika wawajibike.
Rais Lincoln wa Marekani alipata kuifafanua Demokrasia kama "is the government of the people for the people and by the people"
Sasa basi ukichunguza kwa makini ni kuwa CCM hawaitaki demokrasia Tanzania na ndio sababu ya yote yaliyotokea bungeni kwani wanaamini serikali ni ya viongozi na ipo kwa maslahi yao.
Hapana shaka kuwa katika uchaguzi mkuu 2015 demokrasia itaitaka CCM iachie madaraka kwani demokrasia inaamini serikali ni ya majority na ipo kwa ajili ya majority hivyo hapana shaka kuwa wananchi wataisulubu CCM kwa kuinyima kura, hapo ndipo penye ushauri wangu
"CCM IMEKATAA DEMOKRASIA KUTUMIKA KUWAWAJIBISHA VIONGOZI WABOVU JE ITAKUBALI YENYEWE IWAJIBISHWE KIDEMOKRASIA MWAKANI?
JIBU NI HAPANA WATAPINDISHA UKWELI, WATAIBA KURA, WATAHARIBU UCHAGUZI.
Viongozi wa UKAWA wanapaswa kuzingatia kuwa demokrasia haijawahi kuwa msaada kwa nchi yoyote katika kuondoa mafisadi, wahujumu uchumi na uongozi mbovu kwa ujumla.
Uingereza, Marekani,Ufaransa, Ujerumani hawakufika hapo kwa msaada wa demokrasia ndio maana katika historia kuna English revolution, French revolition, American revolution.
Malengo ya revolution zote hizo zilizoprove mafanikio ndio malengo ya UKAWA sasa je kwa nini mbinu zitofautiane?
UKAWA MJIANDAE KISAIKOLOJIA NA MUWE NA PLAN "B" WANANCHI TUPO TAYARI.
Mkubwa unadhani watanzania tuko tayari kwa hizo revolution unazotaja? Mi nadhani tuache hisia tufanye utafiti mdogo tu. Libya walikua wapi sasa wako wapi? Ukitaka hiyo revolution ukubali njaa ili mwisho tujiendeshe wenyewe kitu ambacho hao uliowataja hawako tayari kukiona na mifano ipo Cuba nakadhalika.
Kama tunategemea misaada hadi kulipa mishahara usidhani tutaweza hayo unayosema badala yake tutamuita huyo atayeleta hiyo sera majina na matusi ya kila aina. Muhongo ametutetea sana wananchi wa hali ya chini lakini hao mabwana wakubwa na madalali wao wametupumbaza tunamuona mzandiki mwenye dharau. Amemdharau mengi kwa kudalalia nchi yake Mengi aneigeuza imekua amedharau watanzania nasi kama mazuzu tunaitikia kweli. Tunatofauti gani na Majizi ya Kongo wqnepewa hela na silaha wapigane huku nyuma hao kina marekani wanaondoka ma dhahabu bila kujenga hata kashule zaidi ya kuacha maiti. Divide and rule kwa waafrika ni rahisi sana maana sisi ni wabinafsi na wenye wivu wakubwa na mfano ni Escrow na dowans.
Tuliambiwa dowans tunaokoa bilioni sitini na kitu kumbe mchezo baadae tumelipa bilion mia na idhirini na kitu ambayo ilijigeuza symbion bwana revolution wako Obama akaja kuizindua mwenyewe na hamna mtu analizungumzia.Hili ya escrow litaenda hivyo ambapo ukiacha kupunguza ghrama za umeme pia ilipunfuza gharama za kuendesha kesi pamoja na gharama kubwa za tozo nyinginezo tunashadadia irudishwe ambapo mambo yakitulia walipwe stanadard chatered bilion mia tatu na hamna mtu atalizungumzia. Ukisoma hotuba ya zito amerudia mara nyingi tu kuwa kwanini walipwe watu wasiohusika? Bahati mbaya hataji wahusika ni kina nani ila kwa utaalamu ironically anamalizia ni hela za wqnanchi.
Tuache hizo wwndugu. Na hizo revolution zilifanywa na raia wakulima na wafanyakazi siyo wanasiasa uchwara tunaongea hapa mbele ya tv hivi undercapert tunaongea unafiko
Mwaka huu ktaelewekatu.