1. CDM haipo baada ya uchaguzi
2. CUF&NCCR vishakufa hata kabla ya uchaguzi na ndo maana kwa mfano katika maelfu ya bendera maelfu hapa Dar ni CCM upande mmoja na CDM upande wa pili, hakuna popote inaonekqna bendera za CUF wala NCCR ..hawa washajifia tayari
3. Ukawa ni genge la wezi ambalo kila mmoja anakaa kwa kumtegeshea mwenzie ili amuwin
4. Mtikira case (Kagame+Lowassa) ...connecting the a, b, c...
Na hiki ulichokiambatanisha hapa ni nini?
Ccm ikishinda ntatembea uchi cku nzima,,naapa tena
Mtapigaaa porojoo za kisengeee sanaaaa nakuungaa stori sana. Ila CCM bye byeeeeee