Ocampo four
JF Senior Expert Member
- Feb 28, 2014
- 5,789
- 2,159
Wana mageuzi naomba kauli ya Bulembo tuipuuze,Umoja wa wazazi tuu ccm umemshinda mpaka Pinda akatishia kuifuta ile jumuiya.Huyu jamaa ni mropokaji tuu anaishi mjini kwa kupiga domo le mutuzBaada ya lile tamko la mwendasha mashtaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu (ICC) Fatou Bensouda, jana kwa mara nyingine muungano wa Ukawa wamesema washaanza mawasiliano na mahakama hiyo baada ya kugundua CCM hakitakuwa tayari kuachia madaraka hapo oktoba 25...
Ukawa wamesema kuna viashiria vingi hasa kauli za viongozi waandamizi wa CCM wakiwemo Kinana, ambaye ni katibu mkuu wa chama hicho, Nape na Bulembo
Viongozi hao wa Ukawa wamesisitiza azma ya kuwashirikisha jumuiya za kimataifa hasa ICC ili kuhakikisha hakuna fujo wala machafuko yatakayotokea baada ya CCM kushindwa...
Ikumbukwe ni wiki kadhaa ICC ilitoa onyo kali sana kuhusu uchaguzi unaoendelea kwa sasa hapa nchini... Vile vile na baadhi ya wabunge wa Uingereza nao walitoa onyo kali sana...
Mytake: CCM ni vizuri mkajua kuwa hii ni nchi ya watanzania wote. Hamna budi kukubali matokeo ya oktoba pale mtakaposhindwa na sio kutuletea machafuko...
#Mama Tanzania kwanza, vyama baadaye!...
Wana mageuzi naomba kauli ya Bulembo tuipuuze,Umoja wa wazazi tuu ccm umemshinda mpaka Pinda akatishia kuifuta ile jumuiya.Huyu jamaa ni mropokaji tuu anaishi mjini kwa kupiga domo le mutuz
huo wala sio uchochezi chadema wanastahili kupelekwa icc kwa sababu watu wamemwagiwa tindikali chacha wangwe leo dr slaa anaishi kwa mashaka eti tu amejitoa chadema unaigharimu serikali kumlinda kuchochea maandamano ya fujo mpaka watu wameuawa na kuumia nk
huo wala sio uchochezi chadema wanastahili kupelekwa icc kwa sababu watu wamemwagiwa tindikali chacha wangwe leo dr slaa anaishi kwa mashaka eti tu amejitoa chadema unaigharimu serikali kumlinda kuchochea maandamano ya fujo mpaka watu wameuawa na kuumia nk
Hiyo ni ngazi ya jeshi LA Polisi kama ni kweli uyasemayo.
Natilia shaka akili yako siku ukikamata mwizi utataka umpeleke ICC.