UKAWA: CCM wajiandae kwa anguko 2015

Ukawa wanamtisha nani kwenye mbio hizi sioni walichofanya mpaka tuwaamini na kuwachagua.
 
Ukawa watachaguliwa na wake zao tu ila siyo mwananchi was kawaida.
 
sio ajabu ndio maana unajiita samaki kwa kuwa akili yako kama samaki. yeye anawaza maji tu . angalia sasa unaiita tamisemi ya ccm, haya tuletee tamisemi ya chadema basi
kajifunzeni kwanza hesabu za sehemu na asilimia, msiwahadae wananchi na data zenu za kupika, eti zaidi ya 50% za tamisemi ya ccm, urojo, upuuz mtupu
 
kwa sasa ccm wanachoangalia ni jinsi gani wataua watu kupitia jeshi la polisi ili waweze kuendelea kutawala. mwaka 2015 kuna kila dalili za kuingia kwenye vita kati ya jeshi la polisi na wananchi wa kawaida
 
pumba kabisa, jeshi la polisi ndio limuelekeza mpiga kura atumbukize kura yake kwa ccm ama ukawa! how pathetic ! huna hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…