Bado kabisa makamanda huku vijijni, wagombea wengi wamewekewa pingamizi na nafasi zao hazikupata replacement,Katibu na wenyeviti wa kimkoa inabidi wafanye kazi za ziada kuelekea uchaguzi mkuu 2015.

Hawa ukawa mimi nashindwa kuwaelewa, mkuu nimeamini kuwa kuiondoa ccm ni kazi kubwa sana mana kwa jinsi ukawa wanavyoongea majukwaani utafikiri wamefika kila kona kumbe ni porojo za majukwaani tu, kweli hawa jamaa ni wababaishaji