Ukatili wa kintyama dhidi ya mifugo

Lengwanan

Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Nimetumiwa picha hizi na mdau alikuwa kwenye research ya nutrition mkoani Kagera kakutana na ukatili wa ajabu dhidi ya mifugo unaofanywa na askari wetu wa wanyama pori eti kisa wamekutwa maeneo ya pori la akiba.

Inasemekana hawa ng'ombe wamewekwa ndani ya shimo lenye tope maeneo ya Rusumo wilayani Ngara na ni mifugo wa watanzania waliokataa kutoa rushwa kwa hivo jamaa wakaamua kuwakomesha kwa kuwafanyia mauaji ya kimbari ng'ombe hao.Hawa ng'ombe wana dhambi gani? na je kweli watanzania tumefikia kuwa watu katili kiasi hiki?

Swali, Mhe.Nyarandu upo wapi? In normal circumstances this is intorelable to flank.
 

Attachments

  • 1398879423178.jpg
    16.4 KB · Views: 70
  • 1398879423829.jpg
    16 KB · Views: 65
  • 1398879424196.jpg
    16.4 KB · Views: 62
  • 1398879426258.jpg
    16.4 KB · Views: 68
  • 1398879428195.jpg
    15.1 KB · Views: 61
  • 1398879429914.jpg
    14.6 KB · Views: 61
  • 1398879430323.jpg
    13.8 KB · Views: 57
  • 1398879430511.jpg
    13.7 KB · Views: 69
  • 1398879430665.jpg
    16.3 KB · Views: 73
  • 1398879431287.jpg
    14.3 KB · Views: 96
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…