Ukatili kwa watoto: Ambaka mtoto na kumlisha mbegu za kiume (Bao)

Kumbe na kesi ilikwishasikilizwa na kuamuliwa??
Na alishinda vipi kama kulikuwa na ushahidi usio na shaka yoyote..??
Ndio hapo wananchi walipokuja juu baada ya mtuhumiwa kushinda kesi wakati ushahidi wote ulikuwepo,Ila wameenda kukata rufaa
 
Ndio hapo wananchi walipokuja juu baada ya mtuhumiwa kushinda kesi wakati ushahidi wote ulikuwepo,Ila wameenda kukata rufaa
Kwahiyo hapo awali mashahidi hawakutoa ushahidi au??

Miujiza hii!
 
Kuna ka ukakasi kwenye hii habari yani mtoto mdogo abakwe mbele na nyuma na mtu mzima alafu aulizie radha ya manii.!?kuna kitu hakipo sawa.
 
Kill him and god will understand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…