Ukatili kwa wanyama

jigili

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
351
Reaction score
347
Tafadhali naomba kwa anayefahamu anifahamishe ni wapi naweza toa taarifa na ikafanyiwa kazi endapo nimeona mnyama anafanyiwa ukatili sababu kuna mtu naona hamtendei haki Ngedere wake anamfundisha kushika kichwa, kuruka n.k.akikosea anapigwa mpaka majirani tunasikia kilio chake.
 
Tume ya haki za wanyama ilikuwaga nyuma ya chuo cha cbe hapo pembeni ya UVCCM, Sijui Kama wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…