Ukata wa pesa katika maisha

Kufanya analysing ya wapi uliteleza na kujifunza katikati ya tatizo tuache utani haiwezekani kabisa.. kikubwa ni kutafuta solution ya haraka walau kustabilize tatzo kwa sababu unakuwa katikati ya stress then baada ya kustabilize tatizo either kwa kukopa au kutafuta msaada wa haraka then baada ya tatizo kutoka hapo unatakiwa kutafuta tatizo lilitokea wapi nakujifunza ili lisijirudie na likirudi liwe lingine ndo mfumo wa maisha sio kwamba ukishasolve hilo tatizo ndo guarentee kuwa hutaishiwa au kuteleza kwingine..
 
Hii hali huwa inamaliza kabisa nguvu za kiume. Cha maana kama una mtu wa karibu anaeweza kukukopesha jaribu kumfata. Au kama ofisini kunasomeka jaribu pia. Ila ujifunze next time jitahidi uongeze vyanzo vya mapato.
Halafu kweli kabisa..
Hii hali ni hatari sana..
Mwanaume anaweza ona mwanamke kama msela wake kabisa
 
Nimejifunza kitu hapa,,,, hiki kitu kinaniumiza sana,,, nilikopa benk nikafungua baadhi ya miradi ikafa kwa kukosa usimamizi na kuwaamini ndugu na jamaa,,, mshahara umekuwa mdogo..madeni yamekuwa mengi mpaka nachanganyikiwa hivi ninavyoandika hapa ndan nna shilingi alf 2 na kesho natakiwa kwnda kazini!!! Nachanganyikiwa sana
 
Inajulikana kwamba pesa inawasha Ukiipata... Jaribu kupitia matumizi yako upya... Achana na vile visivyo vya lazima uli uwe na mwanya mpana wa kujiwekea akiba....




Cc: mahondaw
 
Pole sana mkuu,Hivyo vitu vinatokea sana hasa kwa sie wasaka nyoka aka wala vumbi.
-Jenga Jina kuwa friend na kila mtu,acha kujikweza uwe na mia au milioni kusiwe na tofauti...Kuna watu wanaishi mjini kwa kutegemea jina tu(friend),ukikwama tafuta watu wako wa karibu kwa msaada zaidi.

-Rudisha mpira kwa kipa,Ukiona mambo yapo tight rudi home ujipange upya,maisha hayana formula watakuelewa tu.
 
Duh kaka kama ni kweli nitumie namba yako nikutumie 5000.ipo siku utanikumbuka inagawa namimi sina kutu kaka
 
True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…