Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,787
- 58,391
Mama lishe,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mama lishe na hao wauza uji ni wamoja,
Mie mama chakula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watembeza ujiNa nyinginezo mtaongezea wakuu
Unga na mchele[emoji16], ukitaka nakupikia au unanunua unaenda pika mwenyewe.[emoji41][emoji41][emoji41]Nawe unauza nini mama chakula
Mitaro.... ππππππChief kwani tumetiririka kama majiπ
Binafsi Sina ushahidi ktk hilo lkn naona ni vile mtu atavyojiweka zaidi ndivyo humtambulishaAu naongopa ?
Sasa kumbe nawe kundini upo sema huvumi tuUnga na mchele[emoji16], ukitaka nakupikia au unanunua unaenda pika mwenyewe.
Ndo mambo mnayopenda hayo.πππππππππ..Spa massage is a luxury massage in which services are performed to create a feeling of freshness on the face and skin.
Mitaro.... ππππππMatopeni
StoryUkahaba popote tu mkuu, laiti ungejua humo maofisini watu wanavyopigwa miti asee.
Sisi mbona tuko busy kuendesha mitambo naomba mnipe chimbo moja maofisini nizameπUkahaba popote tu mkuu, laiti ungejua humo maofisini watu wanavyopigwa miti asee.
Chief mimi paroko kabisa ayo mmbo na Mimi wapi na wapi πFabian Vitus Ni miongoni mwa kijana wa hovyo pia kama vijana wengine πππππππππ
Iphone 15 promax ππzinawafanya waingie sehem yoyote waruka mitaro
πππaiseeIphone 15 promax ππzinawafanya waingie sehem yoyote waruka mitaro
Tu yeye ushapata iyo promax 15πππππaisee
Aaaaaah wapiiii...Chief mimi paroko kabisa ayo mmbo na Mimi wapi na wapi π
Sijapata bhana,nifanyie mpango basTu yeye ushapata iyo promax 15ππ
Kama kwer uye kutoka apo mpk Mwenge mataaπ€£Aaaaaah wapiiii...
Hiyo nakataaa mpaka nakufa ππππππ
Njoo uchukue mbn mpngo ni uleule tulio weka π€£Sijapata bhana,nifanyie mpango bas
π³upi tena? Kuliwa?Njoo uchukue mbn mpngo ni uleule tulio weka π€£