101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,245
Kama usipotumia ubongo wako vema misuli yako itafidia. Dada zetu mjue,Unapoona mwajiri wako anakupa kazi inayoutweza utu wako, basi jua unafanya ukahaba ulioboreshwa.
Maana sasa hivi umalaya umekua unatangaziwa bila ya aibu dadek....
Na hii ndio list ya kazi zenye mazingira hayo
1. Massage center (parlour)
2. Bar maid wanaoveshwa vikaptura na visketi vifupi
3. Club stripper's (mnenguaji klabuni)
4. Model wa mitindo ya nguo
5. Ulimbwende (beauty)
6. Video queen kwenye video za mziki
7. Tasnia ya uigizaji(bongo muvi)
8. Wahudumu wa lodge na utitiri wake
9. Magroup ya telegram na WhatsApp
10. House party
Na nyinginezo mtaongezea wakuu
Evidence video hapo chini View attachment 2788900
Maana sasa hivi umalaya umekua unatangaziwa bila ya aibu dadek....
Na hii ndio list ya kazi zenye mazingira hayo
1. Massage center (parlour)
2. Bar maid wanaoveshwa vikaptura na visketi vifupi
3. Club stripper's (mnenguaji klabuni)
4. Model wa mitindo ya nguo
5. Ulimbwende (beauty)
6. Video queen kwenye video za mziki
7. Tasnia ya uigizaji(bongo muvi)
8. Wahudumu wa lodge na utitiri wake
9. Magroup ya telegram na WhatsApp
10. House party
Na nyinginezo mtaongezea wakuu
Evidence video hapo chini