aksante tena sana!! team jMali huwa wanatuzinguwa sana... sasa mbona habari za hivi huwa hawazizungumzii kama kweli mlishawapa uraia wa Bongo? lazima mjiulize kwa nini wao 24/7 ni kuvamia habari za Rwanda tu... jibu ni obvious "masalia ya Interahamwe"
Hawa nao waache unafiki mbona awakumshika kagame after his admission on shooting Habyarimana plane, ndio kwanza wamekuwa mtetezi wake mkubwa for a long time despite so much BBC efforts to bring about incriminating evidence on Kagame's part .