UK yapinga kesi ya mpelelezi mkuu Rwanda

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,228
Reaction score
618
Mahakama ya Uingereza imekataa mpango wa kumsafirisha hadi nchini Uhispania afisa mkuu wa idara ya upelelezi wa Rwanda ili ashtakiwe na jukumu alilochukua wakati wa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994.
Karenzi Karake alikuwa amewachiliwa kwa dhamana nchini Uingereza kufuatia kukamatwa kwake mnamo mwezi Juni na kibali kilichotolewa na uhispania.
Kukamatwa kwake kuliathiri hali ya kidiplomasia kati ya Uingerewza na Rwanda.Jaji wa Uhispania alimshtaki Jenerali Karake mwaka 2008 kwa madai ya uhalifu.
Uamuzi huo wa Uingereza umeungwa mkono na waziri wa haki nchini Rwanda Johnston Busingye.
 
Ni habari mbaya kwa wapenda amani dunia nzima. Kwa bahati mbaya sheria ni lazima zifuatwe. La kuzingatia ni kwamba Karake ameachiwa kwa sababu kisheria, ili Uingereza iruhusu extradiction, inabidi makosa aliyoshitakiwa nayo spain yawe pia makosa nchini Uingereza. Unfortunately, kosa la war crimes aliloshitakiwa nalo spain halimo uingereza. Hiyo ndio sababu pekee. Hajaachiwa kwa sababu ni "diplomat" au kwa sababu hana kosa. Pure technicality. Tuhuma dhidi yake zinabaki pale pale. Na siku moja haki itatendeka tu duniani au ahera.

Analysis by Rob Wilson, BBC News

For an extradition to be made following a European arrest warrant, the alleged offence must be against the law of both the prosecuting country, in this case Spain, and the country of arrest (UK). There is, however, a list of 32 offences for which dual criminality is not required.
"Terrorism" is on that list but "war crimes" are not. It appears that Gen Karake's defence team successfully argued that he was facing war crimes charges in Spain, and so "dual criminality" did not apply.
In addition, Gen Karake cannot be charged for war crimes committed in another country under UK law, as he can in Spain. This is because of Spain's particular laws relating to "universal jurisdiction", which allow Spanish courts to indict those it believes have carried out crimes against humanity, war crimes, genocide or torture.
Rwanda's President Paul Kagame had strongly condemned Gen Karake's arrest, saying the UK was showing a "colonial" mentality.
He was on an official visit to London when police arrested him.
Spanish investigative judge Andreu Merelles had indicted Gen Karake, along with 39 other current or former high-ranking Rwandan military officials.
He was accused of killing ethnic Hutu civilians in both Rwanda and Democratic Republic of Congo, after Mr Kagame's Rwandan Patriotic Front (RPF) came to power in 1994.
The Tutsi-dominated RPF helped end the genocide, in which some 800,000 Tutsis and moderate Hutus were slaughtered by Hutu extremists.
Gen Karake is also accused of ordering the killing in 1997 of three Spanish nationals working for Medicos del Mundo.
Rwanda has always maintained that Gen Karake was innocent, and the charges were politically motivated.
His defence team included Cherie Booth, former UK Prime Minister Tony Blair's wife.

source: UK dismisses Rwanda spy chief Karenzi Karake case - BBC News
 
ninaamini karake atakaa nchini mwake kwa miaka mingi sana bila kutoka nje, au akitaka kutoka atakua anaita wanasheria wake kwanza waangalie sheria za nchi anayoenda kama zina dual criminality na sheria za spain especially on the aspect of "war crimes", akijua hilo hatatembelea hiyo nchi. that is one.

pili ni kwamba, hii ni achabu kubwa sana kwamba atakuwa anaishi kama mfungwa duniani, hatakuwa na uhuru kutembea duniani kama wanadamu wengine. huyu tunamuweka kwenye kundi moja na al bashir ambaye anasafiri kwa shida. hata asiposhitakiwa lakini hiyo ni adhabu tosha kabisa. cha moto amekiona hata hivyo kwa siku hizi huko Uk atakua ameona ni kama miaka mia. iwe fundisho kwa wauaji wengine wa Rwanda pamoja na wanasiasa wengine dunaini kuwa ukifaya maovu mbeleni ndio kitakuwa kifungo chako, utaishi duniani kama mtumwa.
 
Hahaha hakuna cha ajabu hapo ni interahamwe peke yao ndio walikuwa wanaamini huu upuuzi.
 
Wishful thinking.
 

Habari mbaya kwa interahamwe na wauaji wote ndio maana wako kimya leo kama wamenyeshewa na mvua za masika,mwambie Kabuga na fugitives uncles zako nao waende London au Burundi tuu then uje uandike humu matokeo
 
Wishful thinking.
wishful kivipi koba, amekamatwa UK kama kuku au kibaka wa manzese pamoja na heshima zake zote alizonazo rwanda, kule uk walimwona pusi tu. nadhali walisema ohh huyu pusi anatoka hiki kinchi kama kidoti kisichona maliasiali zaidi ya women and gollila....wezi wa madini ya congo....wakamkamata kama machinga tu na kumuweka ndani. rais wenu amelia weee piga mayowe weee, yeye mwenyewe najua aliumia moyo vya kutosha na hiyo ilikuwa adhabu ya kutosha. hata kama hamtakubali ukweli ni kwamba amepata adhabu ya kutosha na bado ataishi kama tumwa, hataishi kama unavyoishi wewe koba ukisafiri popote upendavyo. zaidi ya yote hii imeonekana ni dharau kwa kanchi kako hako, uk imekadharau sana kanchi kako na wanaweza kufanya lolote na hamna la kufanya. na bado,,kuna wengine wengi watadharilishwa kama huyu kuku wa kisasa.
 
Habari mbaya kwa interahamwe na wauaji wote ndio maana wako kimya leo kama wamenyeshewa na mvua za masika,mwambie Kabuga na fugitives uncles zako nao waende London au Burundi tuu then uje uandike humu matokeo
vipi yule askari aliyetungua wenzake huko kulinda amani naye alikuwa interahamwe au fdlr? au alikuwa mhutu nini?
 

Mkuu una comedy sana wewe na unavyoandika ni kama mtoto wa darasa la pili tuachie hapo tuu.
 
Mkuu una comedy sana wewe na unavyoandika ni kama mtoto wa darasa la pili tuachie hapo tuu.
andika point, au ndiyo mlivyofundisha huko rwanda kujibu hoja, pamoja na kwamba umekulia tz, umepewa vyakula vya ukimbizini tz, ukapewa choo ya kunya tz na kupakizwa gari la kitz kukurudisha kwenu rwanda....huko ndio hali halisi uliyoikuta ambayo huwezi kuandika kwa kufikiria na kutoa point? hivi mnyarwanda anaweza kuongea kitu gani kwa mtz? who is a Rwandan before a Tanzanian? mna sauti kweli?
 
I don't know so no comment.
nasikia alikua mhutu, na kwasababu ya kabila lake, serikali yako imesema alikua gaidi au alikuwa na matatizo ya buongo. wengi tumejiuliza alikuwa na matatizo ya ubongo kwasababu alikuwa mtusi aliyekuwepo RPF na damu za watu zinamlilia hadi anachizika au alikuwa mhutu aliyeona watu wake wananyanyawa na paka akaamua kuwafyatulia ndugu wa rpf risasi?
 
Seems hata unachoandika wewe mwenyewe huelewi,anyway ndio akili za interahamwe full matope ..hamsaidiki nyie.
 
Seems hata unachoandika wewe mwenyewe huelewi,anyway ndio akili za interahamwe full matope ..hamsaidiki nyie.
kwahiyo mimi kama mtz ni interahamwe?hahahah, pusi kweli wewe. jua kuwa, jinsi mnavyowaona wahutu ni second class huko kwenu kigali, ukija huku bongo ninyi watusi na wahutu wote tunawaona third class, kiburi chote cha watusi kwetu ninyi huwa tunawafananisha na mahousegirl tu au wachunga ng'ombe wetu, wakata majani.
 

Nafikiri ya wanyarwanda tuwaachie wanyarwanda, na tujaribu kujenga na siyo kubomoa. Kila nchi ina maamuzi yake na kwa faida ya wananchi Wake. Na huwezi kupendwa na wote. Hapa naona chuki ambazo hazina msingi wowote.
 
:lol::lol::lol::lol:
 

Hahahaha.....what else can you interahamwe say. Hahaha...mind you that means also that all the other 39 Rwandans accused are therefore exonorated. Mtahangaika weee lakini mwishowe mnaumbuka. Adios Interahamwe. Kapike mashtaka mengine uyapeleke huko huko maybe one day you will be luck. NOOOOT IN YOUR LIFETIME. THE TRUTH ALWAYS FINDS WAYS OF RISING TO THE TOP. Can't suppress the truth.
 

Gen. KK ni zero brain kabisa, hivi inakuwaje mkuu wa ma-spy wa taifa unakamatwa kama kuku bila kujua?
 
Gen. KK ni zero brain kabisa, hivi inakuwaje mkuu wa ma-spy wa taifa unakamatwa kama kuku bila kujua?

Hapa kwetu mkurugenzi wa usalama wa taifa imran kombe aliuwawa, tena hapahapa bongo eneo lake la kujidai, sembuse kukamatwa kwenye nchi za watu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…