Ujuzi VS. Elimu

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
11,059
Reaction score
15,534
Hivi ni vitu viwili tofauti. Ukiweza kuvijua kiundani unaweza ku tackle 50% ya changamoto za ajira.

Enzi hizi kuna watu wengi wana elimu, lakini hawana ujuzi. Na maisha ya sasa yanahitaji zaidi ujuzi kuliko elimu.

Sikatazi watu kuwa na elimu, Eg. Form 4, 6, Diploma, Degree, masters, Doctorate na Uprofesa. Pia ni muhimu kuwa na ujuzi.

Jifunze kitu chochote ambacho unaamini utakiweza apart from elimu yako.

Unaweza jifunza Graphics design, Photographing, Web development, Blogging, Welding, Ususi, Upishi, Aluminum and PVC, Ufundi umeme, Ufundi bomba, Ufundi Simu na computer, Garden services, Nyingine nyingi.

HAKUNA MTU MWENYE UJUZI UTAKUTA ANALALAMIKA ETI MAISHA MAGUMU.

Hizi elimu zetu ndio zinatufanya tuwe na maisha Magumu. Maana zimeweka wigo kwenye akili zetu tusiwe na mawazo mbadala.

I wanna encourage somebody.
Jifunze kufanya kitu ambacho unahisi unakipenda au unakiweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…